ROCKY POINTY RESORT HOTEL KIWANJA KIPYA NA CHA KIJANJA MJINI KAHAMA

                 Kwa ndani sasa hebu jionee mandhari mazuri ya counter classic kabisa na ya kijanja na ubunifu wa hali ya juu,,,,,,big up sana kwa Mkurugenzi wa Rocky Point Resort Hotel (Mr.Jeremiah Ndassa)
                         Huku ndiko mambo ya cooking yanakofanyika a.k.a kitchen (Jiko)
Yafuatayo ni baadhi ya maeneo unayoweza kujiachia,kucheki mechi kwa wapenzi wa soka na pia kuparty
 Hudumaa hii ipo pia tena ni classic balaaa
Rocky Point Resort Hotel pia inatoa huduma ya Logde 
Lodge reception na mwonekano wa lodge pamoja na vyumba
  Huyu ni supervisor wa huduma zote @ Rocky Point Resort Hotel
Pia kuna maeneo mazuri kwa ajili ya picha kama hivi!
(The Swaga Zone blog Manager katika pozi)


Rocky Point Resort Hotel
P.O.Box 309
Kahama - Shinyanga
Nyasubi
cell:+255754442900
( Mkurugenzi )

0 comments:

Premium Blogspot Templates
Copyright © 2012 ROCKY POINT HOTEL